Kwa msaada zaidi kuwasiliana nasi bonyeza link ya WhatsApp inbox: link1:https://wa.me/8613797067514) au WhatsApp inbox link2: https://wa.me/255698382205)

China and Tanzania’s best products’ collections for you.

Unique collections for wholesales directly from the factories at affordable price.

Bei zetu zimejumuisha gharama za usafiri ndani ya China kutoka mji kiwanda kilipo mpaka mji ilipo kampuni ya usafirishaji itakayo tumika.
Easy return &
refund policy -Ndani ya siku 7 kama uko ndani ya China unaweza kurudisha mzigo kama haujavutiwa nao kwa ajili ya kurudishiwa hela au kubadirisha bidhaa & tunaweza kurudisha hela endapo tukishindwa kufikisha mzigo wako kwenye kampuni ya usafirishaji ndani ya China tutakudishia hela.
Baada ya kuwasilisha oda, oda yako itashughulikiwa haraka iwezekanavyo ili ianze safari mapema kutoka godauni za viwandani. Hakikisha umejua hatima ya oda yako kabla ya wiki kuisha (ndani ya siku 7 uhakikishe ushapata tracking namba ya mzigo wako au taarifa za risiti ya mzigo wako)